Home
»
SIASA
» HABARI PICHA-NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA ZANZIBAR SALIMU MWALIMU AKIWA NA VIONGOZI WA JIJI NA MKOA WA ARUSHA
|
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar ,Salimu Mwalimu akiwa katika picha
ya pamoja na Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro (watatu kushoto)
,Naibu Meya Viola (wakwanza kulia) ,Mwenyekiti wa Chadema Mkoa ,Amani
Golugwa na Afisa Habari wa Chadema Mkoa ,Makabayo.Picha na Fedinand
Shayo |
|
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salimu Mwalimu Salimu akifafanua jambo kwa
Naibu Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro (kushoto) katika ziara yake ya
kumtembelea Meya huyo,Kulia ni Afisa Habari wa CHADEMA Taifa,Tumaini
Makene.Picha na Ferdinand Shayo |
|
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salimu Mwalimu Salimu akiteta jambo na
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Juma Idd alipomtembelea Ofisini kwake
jana,Kulia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa Amani Golugwa.Picha na
Ferdinand Shayo |
Post a Comment